Ni aina ya sakafu ambayo ni imara, hodari na stahimilivu na inakubali mazingira mbalimbali ya ndani ya nyumba ama ofisi. Laminate inamuonekano wa mbao asilia, ni rahisi sana kusafisha na ina unene wa 12 mm. Sakafu ya laminate imetengemezwa kwa tekinolojia kubwa inayoifanya kudumu miaka mingi ndani ya nyumba yako. Read more
A box contains 3 pieces covering a total of 1.56 square meters and the following are the benefits:
Specifications | Descriptions |
---|---|
LAMINATE | Wear layer 0.15mm na Thickness 1.90 mm |
Mzigo wa MKEKA WA MBAO umewasiri. Bidhaa nyingine zinazotufikia punde ni kama vile SPC FLOOR | LAMINATE FLOOR | WALL TILES | 3D WALL PANELS. Changamkia fulsa kwa kuweka email yako hapa chini.